Join Nostr
2026-01-07 10:09:35 GMT

POWA255 on Nostr: manlikekweks akiwa ndani ya Bitcoin Arusha Hub hapa WSHA Co-working space Akiwa ...

akiwa ndani ya Hub hapa WSHA Co-working space Akiwa amevalia T-shirt yetu Spesho ya #BitcoinNiHela🧡

Hi ni zaidi ya style ni ujumbe wa mabadiriko ya kifedha!
Karibu utumbelee hub yetu ujifunze kuhusu #Bitcoin, uhuru wa kifedha na mengi zaidi

📍Mega Complex floor ya Saba (WSHA CO-working space).

#bitcoinniHela #BitcoinArusha⚡️🧡
#POWA255⚡️